Kigarig-Ilgar
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kigarig-Ilgar ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wagarig na Wailgar katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kigarig-Ilgar, yaani lugha imetoweka kabisa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigarig-Ilgar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigarig-Ilgar Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigarig-Ilgar katika Glottolog
- lugha ya Kigarig-Ilgar katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigarig-Ilgar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |