Lugha za Kiyiwaidjan

familia ndogo ya lugha za Australia

Lugha za Kiyiwaidjan (au za Kiiwaidjan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha sita tu ambazo huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory: Kiiwaidja, Kigarig, Kiilgar, Kimanangkari, Kimaung na Kiamurdag. Lugha hizo zote zimo hatarini mwa kutoweka au zimeshatoweka.

Eneo la lugha za Kiiwaidjan (rangi ya zambarau)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiyiwaidjan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.