Kigbe-Maxi
Kigbe-Maxi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Togo inayozungumzwa na Wagbe. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kifon. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Maxi nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 66,000. Pia kuna wasemaji 25,300 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Maxi iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimaxi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaxi Archived 5 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaxi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mxl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Maxi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |