Kifon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafon. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kifon nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 1,400,000. Pia kuna wasemaji 35,000 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha] kwa ndani zaidi, Kifon iko katika kundi la Kikwa.

Enezi la lugha za Kigbe pamoja na Kifon, 1988

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.