Kigbe-Waci

Lugha ya Niger-Kongo inayozungumzwa nchini Togo na Benin

Kigbe-Waci ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Wagbe. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Waci nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 366,000. Pia kuna wasemaji 110,000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Waci iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Waci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.