Kigeser-Gorom
Kigeser-Gorom (pia Kiseram) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wageser na Wagorom kwenye visiwa vya Seram na Gorom. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kigeser-Gorom imehesabiwa kuwa watu 36,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigeser-Gorom iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigeser-Gorom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigeser-Gorom Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigeser-Gorom katika Glottolog
- lugha ya Kigeser-Gorom kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigeser-Gorom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |