Kigidar ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wagidar. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kigidar imehesabiwa kuwa watu 54,000. Pia mwaka wa 1993, wasemaji 11,700 wamehesabiwa nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigidar iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigidar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.