Kigithabul ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagithabul katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigithabul ishirini tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigithabul kiko katika kundi la Kibandjalangiki. Wengine hukiangalia kama lahaja ya Kibandjalang.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigithabul kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.