Kigodwari
Kigodwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagodwari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kigodwari imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigodwari iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigodwari kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigodwari Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigodwari katika Glottolog
- lugha ya Kigodwari kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigodwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |