Kigowlan ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagowlan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigowlan imehesabiwa kuwa watu 20,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigowlan iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kuwa lugha moja na Kigowli na Kibhalay.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigowlan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.