Kigroma ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi, Uchina na Bhutan inayozungumzwa na Wagroma. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigroma nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 14,000. Pia kuna wasemaji 12,800 nchini Uchina (1993). Idadi ya wasemaji nchini Bhutan haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigroma iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigroma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.