Kigugadj
Kigugadj kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagugadj katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigugadj ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigugadj kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigugadj kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigugadj Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigugadj katika Glottolog
- lugha ya Kigugadj katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigugadj kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |