Kigugu-Badhun kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagugu-Badhun katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigugu-Badhun ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigugu-Badhun kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigugu-Badhun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.