Kigugu-Warra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagugu-Warra katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigugu-Warra imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigugu-Warra kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigugu-Warra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.