Kigugubera

lugha ya asili ya Australia

Kigugubera (au Kikoko-Bera) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagugubera katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigugubera 100, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigugubera kiko katika kundi la Kipama cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigugubera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.