Kigurdjar
lugha ya asili ya Australia
Kigurdjar ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagurdjar katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2007, kulikuwa na msemaji mmoja wa Kigurdjar tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigurdjar kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigurdjar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigurdjar Archived 26 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigurdjar katika Glottolog
- lugha ya Kigurdjar katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigurdjar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |