Kigureng-Gureng

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kigureng-Gureng kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagureng-Gureng katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kigureng-Gureng, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigureng-Gureng kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigureng-Gureng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.