Kiguyani
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kiguyani kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waguyani katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiguyani ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguyani kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiguyani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiguyani Archived 22 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiguyani katika Glottolog
- lugha ya Kiguyani katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiguyani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |