Australia Kusini

South Australian Coat of Arms.svg
Flag of South Australia.svg

Australia ya Kusini (Kiing.: South Australia) ni moja ya jimbo 8 ya kujitawala ya Jumuiya ya Australia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,601,800. Mji wake mkuu ni Adelaide.

Palipo na doa jekundu ndiyo ukubwa wa eneo la Australia Kusini

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Australia Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Majimbo na maeneo ya Australia
 
Australia Kusini | Australia ya Magharibi | Australian Capital Territory | New South Wales | Northern Territory | Queensland | Tasmania | Victoria