Kihajong ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wahajong. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihajong nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 63,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihajong iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihajong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.