Kihalang
Kihalang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wahalang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihalang imehesabiwa kuwa watu 13,500 nchini Vietnam na 4000 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihalang iko katika kundi la Kibahnariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihalang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihalang Ilihifadhiwa 16 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihalang katika Glottolog
- lugha ya Kihalang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihalang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |