Kihalang-Doan ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wahalang-Doan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihalang-Doan imehesabiwa kuwa watu 2350 nchini Laos. Pia kulikuwa na wasemaji 2000 nchini Vietnam mwaka wa 1981. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihalang-Doan iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihalang-Doan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.