Kiharar (pia Kioromo-Mashariki) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waoromo. Isichanganywe na lugha ya Kiharari ambayo ni lugha ya kisemitiki. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiharar imehesabiwa kuwa watu 4,530,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiharar iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiharar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.