Kiharyanvi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waharyanvi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiharyanvi imehesabiwa kuwa watu milioni nane. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiharyanvi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiharyanvi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.