Kihindko cha Kusini

(Elekezwa kutoka Kihindko ya Kusini)

Kihindko cha Kusini ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wahindko. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihindko cha Kusini kiko katika kundi la Kiaryan.

Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kihindko cha Kusini imehesabiwa kuwa watu 625,000.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihindko cha Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.