Kihinduri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wahinduri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihinduri imehesabiwa kuwa watu 29,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihinduri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihinduri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.