Kihmong-Dô
Kihmong-Dô ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam inayozungumzwa na Wahmong. Idadi ya wasemaji wa Kihmong-Dô haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Dô iko katika kundi la Kichuanqiandian. Wengine huianglia kama lahaja ya Kihmong-Daw.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihmong-Dô kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihmong-Dô Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihmong-Dô katika Glottolog
- lugha ya Kihmong-Dô kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihmong-Dô kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |