Kihmong-Don ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam inayozungumzwa na Wahmong. Idadi ya wasemaji wa Kihmong-Don haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Don iko katika kundi la Kichuanqiandian. Wengine huianglia kama lahaja ya Kihmong-Daw.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihmong-Don kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.