Kihmong-Njua ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Myanmar, Uchina, Uthai na Laos inayozungumzwa na Wahmong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihmong-Njua imehesabiwa kuwa watu 100,000 nchini Laos, 40,000 nchini Uchina, 60,000 nchini Uthai na 10,000 nchini Myanmar. Idadi ya wasemaji nchini Vietnam haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Njua iko katika kundi la Kichuanqiandian.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihmong-Njua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.