Kihulung
Kihulung ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wahulung kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kihulung imekadiriwa kuwa haifiki watu kumi, maana yake kwa sasa inaonekana kuwa imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihulung iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihulung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihulung Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihulung katika Glottolog
- lugha ya Kihulung kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihulung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |