Kihung
Kihung ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wahung. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kihung imehesabiwa kuwa watu 2000 nchini Laos na 700 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihung iko katika kundi la Kicuoi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihung Ilihifadhiwa 24 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihung katika Glottolog
- lugha ya Kihung kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |