Kiikaranggal
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kiikaranggal kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waikaranggal katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiikaranggal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiikaranggal kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiikaranggal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiikaranggal Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiikaranggal katika Glottolog
- lugha ya Kiikaranggal katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiikaranggal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |