Kigarig-Ilgar

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
(Elekezwa kutoka Kiilgar)

Kigarig-Ilgar ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wagarig na Wailgar katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kigarig-Ilgar, yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigarig-Ilgar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.