Kiirarutu (pia Kikasira) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wairarutu kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiirarutu imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiirarutu iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiirarutu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.