Kiiu-Mien ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Uchina, Uthai na Laos inayozungumzwa na Wamien. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiiu-Mien imehesabiwa kuwa watu 350,000 nchini Vietnam na 40,000 nchini Uthai. Pia kuna wasemaji 383,000 nchini Uchina (1995) na 20,300 nchini Laos (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiiu-Mien iko katika kundi la Kimian-Jin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiu-Mien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.