Kijalkunan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wajalkunan. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kijalkunan iko katika kundi la lugha za Kimande.

Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kijalkunan imehesabiwa kuwa watu 500 tu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijalkunan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.