Kijita
Kijita (pia huitwa Echijita) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wajita. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kijita ilihesabiwa kuwa watu 205,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kijita kiko katika kundi la E20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kijita kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijita Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijita katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/jit
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kijita)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Downing, Laura Jo. 1990. Problems in Jita tonology. PhD thesis. University of Illinois at Urbana-Champaign. Pp xiv, 526.
- Downing, Laura Jo. 1996. The tonal phonology of Jita. (Lincom studies in African linguistics, no 5.) München: Lincom Europa. Pp 245. [ISBN 3-89586-032-8]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijita kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |