Kijoba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wajoba. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kijoba imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kijoba iko katika kundi la J50.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijoba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.