Kikaibobo
Kikaibobo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaibobo kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikaibobo imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Lugha ya Kikaibobo imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaibobo iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaibobo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaibobo Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikaibobo katika Glottolog
- lugha ya Kikaibobo kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaibobo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |