Kikako
Kikako ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakako. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikako nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 10,400 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na 9060 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikako iko katika kundi la A90.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikako kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikako Archived 27 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikako katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kkj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikako kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |