Kikanju

lugha ya asili ya Australia

Kikanju ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakanju katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kikanju wawili tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanju kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.