Kikao ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakao.

Mnamo mwaka 2000 idadi ya wasemaji wa Kikao imehesabiwa kuwa watu 400, na wengi wameshaanza kuacha lugha yao hiyo.

Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikao iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.