Kikashmiri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakashmiri. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikashmiri nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 6,797,587. Pia kuna wasemaji 350,000 nchini Pakistan (2017). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikashmiri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikashmiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.