Kikati
Kikati ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan na Pakistan inayozungumzwa na Wakati. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kikati nchini Afghanistan imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna wasemaji 6,000 nchini Pakistan (2004). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikati kiko katika kundi la Kinuristani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikati Archived 7 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikati katika Glottolog
- lugha ya Kikati kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |