Kikaurna
lugha ya asili ya Australia
Kikaurna kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakaurna katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikaurna ilitoweka. Hata hivyo, kuna watu ambao wameanza kujufunza lugha ya Kikaurna tena kwa ajili ya kuihuisha. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaurna kiko katika kundi la Kiyura.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaurna kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaurna Archived 12 Desemba 2019 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaurna katika Glottolog
- lugha ya Kikaurna katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaurna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |