Kikayardild

lugha ya asili ya Australia

Kikayardild ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakayardild katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikayardild 23 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayardild kiko katika kundi la Kitangiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayardild kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.