Kikaytetye

lugha ya asili ya Australia

Kikaytetye ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakaytetye katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikaytetye 140. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaytetye kiko katika kundi la Kiarandiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaytetye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.