Kikelabit
Kikelabit ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Wakelabit kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikelabit nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 4000. Pia kuna wasemaji 640 nchini Indonesia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikelabit iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikelabit kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikelabit Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikelabit katika Glottolog
- lugha ya Kikelabit kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikelabit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |