Kikemiehua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Wakemiehua. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikemiehua imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikemiehua iko katika kundi la Kimon-Khmer. Wengine huiangalia kuwa sawa na lugha ya Kiman-Met.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikemiehua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.