Kiman-Met ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Waman-Met. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiman-Met imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiman-Met iko katika kundi la Kipalaungiki. Wengine huiangalia kuwa sawa na lugha ya Kikemiehua.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiman-Met kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.